Catherine Kusasira Atishia Kujiondoa NRM Kufuatia Kudharauliwa na Viongozi wa Chama
Msanii na mshauri wa Rais wa Uganda kuhusu masuala ya Kampala na wakazi wa Ghetto, Catherine Kusasira, ametishia kujiondoa ndani ya chama tawala cha NRM, akilalamikia kile alichokiita dharau na kutotambuliwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kusasira amesema licha ya kujitolea kwa miaka karibu kumi kutetea chama na Rais Yoweri Kaguta Museveni, bado […]
Read More