CAVANI BADO YUPO YUPO MANCHESTER UNITED
Baada ya tetesi kuwa staa wa Uruguay ambaye anaichezea Manchester United, Edson Cavani anasitisha mkataba wake na klabu hiyo ya England, majibu yamepatikana. Ralf Rangnick ambaye ni kocha wa timu hiyo amethibitisha kuwa Cavani bado yupo Manchester United na hana mpango wa kuhamia Barcelona kama ilivokuwa ikidaiwa. βCavani hatoondoka Januari hii, tulikaa nae tukaelewana vizuri […]
Read More