PRODYUZA CEDO AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “CEDUCTION”

PRODYUZA CEDO AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “CEDUCTION”

Mtayarishi maarufu wa muziki nchini “Cedo” Kadenyi ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la “Ceduction.” Ceduction album imebeba jumla ya mikwaju 16 ya moto huku zote zikiwa ni kolabo pekee. Cedo ambaye amekuwa kwenye tasnia ya muziki kwa takriban miaka 20 amewashirikisha wasanii mbali mbali wa Afrika Mashariki kama Nyashinski, Khaligraph, Karun, Trio […]

Read More