Jowy Landa Atoa Majibu Mazito kwa Wakosoaji Wake
Msanii wa muziki kutoka Uganda, Jowy Landa, ameibuka na kujibu ukosoaji anaoupata kutoka kwa baadhi ya mashabiki na wadau wa tasnia ya burudani, akisema kwamba hawamsumbui kwani anaamini wanachukizwa na mafanikio yake. Kwenye mahojiano na runinga moja nchini Uganda, Jowy alisema kwamba hafuatilii wala kubeba kwa uzito maoni ya wanaomsema vibaya.  “Mimi hukosolewa kwa sababu […]
Read More