Celine Dion agundulika na ugonjwa usiotibika
Mwanamuziki mkongwe Celine Dion mwenye umri wa miaka 54 ameweka wazi hali ya afya yake kwa kusema amegundulika ana ugonjwa usiotibika unaofahamika kama Stiff Person Syndrome (SPS), ambao ni ugonjwa wa neva. Celine Dion ambaye amejizolea umaarufu mkubwa duniani kote amewaambia wafuasi wake milioni 5.2 wa mtandao wa Instagram kuwa, ugonjwa huo unaifanya misuli yake […]
Read More