Kieran Tierney Arejea Celtic kwa Mkataba wa Miaka Mitano
Klabu ya Celtic imethibitisha kumsajili beki wa kushoto Kieran Tierney kwa mkataba wa miaka mitano, akisajiliwa kama mchezaji huru baada ya kuachana rasmi na Arsenal. Tierney, mwenye umri wa miaka 28, anarudi nyumbani katika klabu alikolelewa kisoka, baada ya miaka sita ya kuichezea Arsenal tangu alipojiunga nao mwaka 2019 kwa ada ya uhamisho ya pauni […]
Read More