Drake Athibitisha Kurejea kwa OVO Fest 2025 Wakati wa Onyesho la Central Cee
Msanii maarufu wa muziki wa hip hop na R&B, Drake, ametangaza kurejea kwa tamasha lake maarufu la OVO Fest msimu wa joto wa mwaka 2025. Tangazo hilo liliwekwa wazi wakati wa onyesho la rapa wa Uingereza Central Cee lililofanyika katika uwanja wa Nokia Arena, ambapo Drake pia alishangiliwa kwa kupanda jukwaani kwa kushtukiza. Drake alidokeza […]
Read More