DADDY OWEN AWABARIKI MASHABIKI ZAKE NA CHAPTER 4 ALBUM

DADDY OWEN AWABARIKI MASHABIKI ZAKE NA CHAPTER 4 ALBUM

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Daddy Owen ameachia rasmi album yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. Album hiyo inayokwenda kwa jina la Chapter 4 ina jumla ya singo 15 ya moto huku ikiwa na 6 collabo pekee. Daddy Owen amewashirikisha wasanii kama Nakaaya,Bella Kombo, Judy Stevens,Ivyln Mutua,Danco na Slejj. Akizungumza wakati […]

Read More