ChatGPT Kuanza Kuonyesha Matangazo kwa Watumiaji wa Bure

ChatGPT Kuanza Kuonyesha Matangazo kwa Watumiaji wa Bure

Kampuni ya OpenAI inajipanga kuanza kuweka matangazo kwa watumiaji wa bure wa ChatGPT, ikiwa ni sehemu ya mpango mpya wa kuongeza mapato. Taarifa zinaonyesha kuwa mfumo mpya wa apps za ChatGPT umeanza kuonyesha misimbo ya aina mbalimbali za matangazo, ikiwemo search ads, ad carousel na hata API maalum ya kuendesha matangazo hayo. Mpango huo unatarajiwa […]

Read More
 Spotify Yashirikiana na ChatGPT Kuboresha Uzoefu wa Kusikiliza Muziki

Spotify Yashirikiana na ChatGPT Kuboresha Uzoefu wa Kusikiliza Muziki

Kampuni ya huduma ya muziki mtandaoni, Spotify, imeingia kwenye ushirikiano na ChatGPT kwa ajili ya kuboresha namna watumiaji wanavyogundua na kusikiliza muziki. Ushirikiano huu umezaa kipengele kipya kinachowezesha watumiaji kuwasiliana moja kwa moja na ChatGPT ili kutengeneza orodha za nyimbo, kupata mapendekezo, na kusikiliza muziki kupitia Spotify. Kupitia teknolojia hii, watumiaji wa Spotify wanaweza kuomba […]

Read More