Chebet Ronoh Akanusha Kupigwa, Asema Picha Imehaririwa
Mchekeshaji na mtangazaji maarufu wa Kenya, Chebet Ronoh, amevunja ukimya wake kufuatia madai kuwa alishambuliwa na mpenzi wa rafiki yake kutokana na ugomvi wa chakula. Tuhuma hizo zilichochewa na picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonesha akiwa na alama za majeraha usoni, hali iliyowatia hofu mashabiki wake. Hata hivyo, Ronoh amekanusha vikali madai hayo, akisema kuwa picha hiyo […]
Read More