Cheed na Killy wafuta urafiki na Harmonize Instagram

Cheed na Killy wafuta urafiki na Harmonize Instagram

Wasanii Cheed na Killy huenda kwa sasa wakawa hawataki kuona chochote kuhusu Harmonize. Wawili hao wameamua kumu-unfollow bosi wao huyo wa zamani katika kurasa zao za Instagram baada ya lebo ya Konde Music Worldwide kusitisha mkataba wao kwa sababu ambazo hawakuziweka wazi. Utakumbuka mwisho mwa wiki iliyopita, Cheed na Killy waliwasilisha lalama zao kwa Baraza […]

Read More
 Cheed na Killy waondoka rasmi Konde Gang

Cheed na Killy waondoka rasmi Konde Gang

Lebo ya Konde Music Worldwide inayomilikiwa na Harmonize imetangaza rasmi kusitisha mkataba na wasanii wake wawili Cheed na Killy kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao. Lebo hiyo ambayo leo imetimiza miaka 4 tangu kuanzishwa kwake Oktoba 10, mwaka 2019, iliwasajili Cheed na Killy Septemba mwakaa 2020 wakitokea lebo ya King’s Music ya Ali Kiba […]

Read More
 CHEED ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

CHEED ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

Staa wa muziki kutoka Konde Gang Cheed ametangaza kuachia EP yake ya kwanza tangu ajiunge na lebo hiyo ya muziki inayomilikiwa na Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Cheed ameachia swali kwa mashabiki zake kama wapo tayari kuipokea EP yake mpya inayosomokea  “Are you ready for my first Extended Playlist?! Stay ready!! 🚨#Cheed #Kondegang4you” Pamoja na kutoa […]

Read More