Chege kufunga ndoa mwaka huu
Msanii wa BongoFleva, Chege Chigunda amechoka maisha ya kuwa SINGLE, ametangaza hadharani kuwa anahitaji mwanamke wa kufunga naye ndoa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Chege amedokeza kuwa japo anatarajia ndoa lakini bado hajapata mwanadada wa ndoto yake ikizingatiwa kuwa ndoa sio ya mtu mmoja bali ni ya watu wawili; mke na mume. Hitmaker huyo wa […]
Read More