Chella Awapa Wasanii Somo la Ubunifu Kupitia Mitandao ya Kijamii
Msanii wa Nigeria Chella ameibuka kama mmoja wa vinara wa kutengeneza challenge zenye mvuto mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, hatua inayompa nafasi ya kipekee katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya. Kupitia nyimbo zake maarufu kama My Darling na Loyal, Chella ameonesha ujuzi wa kipekee si tu katika uandishi na uimbaji, bali pia katika kuunda […]
Read More