João Pedro Aibeba Chelsea Hadi Fainali ya Kombe la Klabu

João Pedro Aibeba Chelsea Hadi Fainali ya Kombe la Klabu

Klabu ya Chelsea imefuzu kwa fainali ya Kombe la Klabu Duniani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense katika mchezo wa kusisimua wa nusu fainali uliochezwa usiku wa kuamkia leo. João Pedro, mshambuliaji mpya wa Chelsea, ndiye aliyeng’ara katika mchezo huo kwa kufunga mabao yote mawili, huku akionesha kiwango cha juu […]

Read More
 Chelsea Yajenga Upya Safu ya Ushambuliaji kwa Usajili wa Wachezaji Wanne

Chelsea Yajenga Upya Safu ya Ushambuliaji kwa Usajili wa Wachezaji Wanne

Klabu ya Chelsea imefanya hatua kubwa katika dirisha la usajili kwa kukamilisha usajili wa wachezaji wane wapya wa safu ya ushambuliaji, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha kikosi kuelekea msimu ujao wa 2025/26. Wachezaji waliothibitishwa kusajiliwa ni Jamie Gittens kutoka Borussia Dortmund, Willian Estevão kutoka Palmeiras, João Pedro  kutoka Brighton & Hove Albion na […]

Read More
 Chelsea Yatwaa Taji la UEFA Conference League 2025 kwa Ushindi wa 4-1 Dhidi ya Real Betis

Chelsea Yatwaa Taji la UEFA Conference League 2025 kwa Ushindi wa 4-1 Dhidi ya Real Betis

Chelsea iliibuka mabingwa wa UEFA Conference League 2025 baada ya kuichapa Real Betis 4-1 katika fainali iliyofanyika Mei 28, 2025, kwenye Uwanja wa Stadion Wrocław, Poland. Real Betis walitangulia kwa bao la mapema dakika ya 9 kupitia Abdessamad Ezzalzouli, lakini Chelsea walirejea kipindi cha pili kwa nguvu.  Cole Palmer alitoa pasi mbili za mabao kwa […]

Read More