RAPA CHEMICAL APEWA HESHIMA YA KIPEKEE SCOTLAND KISA TUZO ZA TANZANIA MUSIC AWARDS 2022
Mwanamuziki wa Hiphop kutoka Tanzania Chemical amepata heshima ya kipekee kutoka Chuo kikuu cha St.Andrwes Scotland, kwenye chuo anachopata masomo yake ya ngazi ya juu ya elimu. Katika makala hayo yaliyochapishwa kwenye tovuti rasmi ya chuo hicho imemuelezea rapa huyo katika mafanikio yake ya muziki na masomo huku wakimpongeza na kujivunia kuwa sehemu ya wanafunzi […]
Read More