KANYE WEST AWEKEWA VIKWAZO KUINGIA KWENYE BIRTHDAY  PARTY YA BINTI YAKE, CHICAGO WEST

KANYE WEST AWEKEWA VIKWAZO KUINGIA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA BINTI YAKE, CHICAGO WEST

Kanye West ameamua kuanika wazi kila kitu ambacho kinaendelea baina yake na Kim Kardashian, usiku wa kuamkia leo ameeleza namna ambavyo aliwekewa vikwazo kuingia kwenye birthday party ya binti yake, Chicago West. YE anadai kwamba hakupewa kabisa location ya wapi party hiyo itafanyika,ila juhudi za Travis Scott zilisaidia kwani alimtumia location na alifika eneo hilo […]

Read More