Vurugu za Mashabiki Zazua Taharuki Katika Show ya Beyoncé Jijini Chicago
Tamasha la muziki lililojaa hamasa kubwa kutoka kwa malkia wa pop Beyoncé liligeuka kuwa eneo la sintofahamu baada ya mashabiki wake wawili kuingia katika ugomvi mkali karibu kabisa na jukwaa. Tukio hilo lilinaswa kwenye video na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, likizua mijadala miongoni mwa mashabiki na wapenzi wa muziki. Katika video hiyo, […]
Read More