Chief Godlove Amtema Pipi Jojo Kulinda Ndoa Yake

Chief Godlove Amtema Pipi Jojo Kulinda Ndoa Yake

Mwanamitandao Chief Godlove amefunguka sababu zilizopelekea kusitisha mpango wa kumsimamia kikazi aliyekuwa msanii wake, Pipi Jojo ambaye alimtambulisha kwenye tasnia ya muziki mwishoni mwa mwaka 2025. Akizungumza na Bongo 5, Chief Godlove amesema taarifa zilizoibuliwa na Mwijaku zikidai kuwa alimpa ujauzito Pipi Jojo zilimletea madhara makubwa katika ndoa yake. Amesema madai hayo, ambayo anasisitiza hayakuwa […]

Read More
 Chief Godlove: Januari Pekee Imeniingizia Mamilioni ya Kutosha Kuishi Miaka 5

Chief Godlove: Januari Pekee Imeniingizia Mamilioni ya Kutosha Kuishi Miaka 5

Content creator maarufu mtandaoni, Chief Godlove, amefunguka kuwa mwezi wa Januari 2026 pekee tayari umemuingizia mamilioni ya fedha zitakazomwezesha kuendesha maisha yake kwa miaka mitano ijayo bila matatizo yeyote. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Chief Godlove ameonekana kujiamini kupita kiasi kwa kusema kuwa kwake mwaka tayari umeshaisha, ilhali kwa wengine ndio kwanza unaanza. Mbali na […]

Read More
 Content Creators Wa Kenya Wamuacha Chief Godlove na Hasara

Content Creators Wa Kenya Wamuacha Chief Godlove na Hasara

Billionea Chief Godlove anakadiria kupata hasara ya maelfu ya pesa baada ya gari lake kupasuliwa kioo ndani ya Nairobi CBD, tukio lililotokea wakati akikutana na content creators mbalimbali jijini humo. Licha ya hasara hiyo, Chief Godlove amesema tukio hilo liligeuka kuwa ushuhuda wa upendo mkubwa na mshikamano wa dhati kutoka kwa content creators wa Kenya. […]

Read More
 Chief Godlove Afunguka Sababu za Kusafirisha Magari yake Kenya

Chief Godlove Afunguka Sababu za Kusafirisha Magari yake Kenya

Bilionea Chief Godlove amefunguka kuhusu uamuzi wake wa kusafirisha baadhi ya magari yake ya kifahari kutoka Dar es Salaam, Tanzania hadi Nairobi, Kenya. Kupitia mitandao ya kijamii, Godlove amesema hatua hiyo imechochewa na changamoto ya uhaba wa mafundi wenye ujuzi wa kutosha kuyahudumia magari hayo nchini Tanzania. Mwanamitandao huyo, amesema kuwa magari yake yanahitaji huduma […]

Read More
 Chief Godlove Awaziba Mdomo Waliomcheka Mtandaoni

Chief Godlove Awaziba Mdomo Waliomcheka Mtandaoni

Bilionea maarufu mtandaoni, Chief Godlove, amewaziba mdomo watu waliomcheka kufuatia taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai magari yake yalipigwa mnada kutoka na madeni. Kupitia ujumbe wake mzito, amejigamba kuwa hatafilisika milele kwa kuwa bado ana uwezo mkubwa kifedha. Amesisitiza kuwa hakuna mtu yeyote anaweza kumwambia chochote kuhusu maisha au mafanikio. Godlove amesema kejeli alizopokea zimemfungua macho na […]

Read More
 Chief Godlove Akerwa na Kejeli Baada ya Gari zake Kudaiwa Kupigwa Mnada

Chief Godlove Akerwa na Kejeli Baada ya Gari zake Kudaiwa Kupigwa Mnada

Bilionea maarufu mitandaoni, Chief Godlove, ameshindwa kujiuzuia baada ya kukumbwa na wimbi la kejeli kutoka kwa mashabiki kufuatia taarifa za magari yake ya kifahari kupigwa mnada kutokana na madeni. Kupitia taarifa aliyotoa mtandaoni, Godlove amesema licha ya changamoto anazopitia kwa sasa, tayari ameishi maisha ya utajiri ambayo wengi wanaomkejeli hawajawahi kuyaonja.Amejigamba kuwa aliwahi kuendesha magari […]

Read More
 Chiefgod Love Atoa Onyo Kali kwa Wanaume Wazembe

Chiefgod Love Atoa Onyo Kali kwa Wanaume Wazembe

Mwanamitandao anayefahamika kwa jina la Chief Godlove amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kutoa kauli tata akiwalenga wanaume anaodai hawawajibiki kwa wake zao wala kutimiza mahitaji ya msingi ya kifamilia. Kupitia ujumbe alioutoa kwenye mitandao ya kijamii, Chiefgod Love amesema amechoshwa na wanaume anaowataja kuwa wazembe na wasiojua kuwajibika, akidai kuwa endapo wataendelea kupuuza majukumu […]

Read More
 Chief Godlove Akanusha Kutoka Kimapenzi na Pipi Jojo

Chief Godlove Akanusha Kutoka Kimapenzi na Pipi Jojo

Mwanamitandao maarufu Chief Godlove amejitokeza kukemea madai yanayoenezwa mtandaoni yakidai kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na msanii wake mchanga, Pipi Jojo. Katika video aliyoipakia Instagram, Chief Godlove ameonyesha kukerwa na taarifa hizo, akieleza kuwa zinamkosea heshima na msanii huyo ambaye ni mtoto wa umri wa miaka 16. Chief Godlove amesema kuwa ukaribu wake na msanii […]

Read More
 Chief Godlove Awaponda Wanaouliza Chanzo cha Utajiri Wake

Chief Godlove Awaponda Wanaouliza Chanzo cha Utajiri Wake

Mshawishi wa mitandao ya kijamii, anayejulikana kama Billionaire Chief Godlove, ameibua ghadhabu na mjadala mkali baada ya kuchapisha ujumbe wenye utata uliojaa dharau na kejeli dhidi ya wafuasi wake wanaohoji kuhusu utajiri wake. Katika ujumbe huo uliowekwa kwenye mtandao wa Instagram, mwanamitandao huyo ameonekana kuwadharau wafuasi wake, akijibu maswali ya mara kwa mara kuhusu chanzo […]

Read More
 Chief Godlove Atangaza Kutafuta Mke

Chief Godlove Atangaza Kutafuta Mke

Mwanamitandao maarufu kutoka nchini Tanzania, Chief Godlove, ametangaza harakati zake za kutafuta mke baada ya kumtambulisha binti yake wa pili kutoka Kenya. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Chief Godlove amesema wazi kuwa anahitaji mwanamke mrembo kuliko mabinti zake, akitoa sababu kuwa uzuri huo unapaswa kuendana na uwezo wa kumhudumia na kuwatunza watoto wake. […]

Read More