CHIKE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA JUU YA TUHUMA ZA KUTUMBUIZA WIMBO WA RADIO & WEASEL BILA IDHINI

CHIKE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA JUU YA TUHUMA ZA KUTUMBUIZA WIMBO WA RADIO & WEASEL BILA IDHINI

Mwanamuziki kutoka Nigeria Chike amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya msanii Weasel Manizo kumchana kwa hatua ya kuimba wimbo wa Radio na Weasel uitwao “Breath Away” kwenye moja ya performance yake wiki iliyopita. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Chike amesema hakuwa na nia ya kumvunjia heshima Weasel au mtu yeyote ila alikuwa ni […]

Read More