Mke wa Bien Achoshwa na Maswali ya Kuzaa Mtoto

Mke wa Bien Achoshwa na Maswali ya Kuzaa Mtoto

Mke wa msanii wa muziki Bien, Chiki Kuruka, ameonyesha kukerwa kwake na watu wanaoendelea kumuuliza na kumshinikiza kuhusu suala la kumzalia mume wake mtoto, akisema maswali hayo yamekuwa yakivuka mipaka ya heshima na faragha yake binafsi. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, amesema amechoshwa na kuulizwa mara kwa mara ni lini atapata mtoto, hasa […]

Read More
 CHIKI KURUKA AMKINGIA KIFUA BIEN WA SAUTI SOL KWA MADAI YA KUPANGA UZAZI

CHIKI KURUKA AMKINGIA KIFUA BIEN WA SAUTI SOL KWA MADAI YA KUPANGA UZAZI

Mke wa msanii Bien, Chiki Kuruka amemkingia kifua msanii huyo kutokana na kauli yake ya kutaka kumsaidia kupanga uzazi kwa kukata mshipa wake wa uzazi maarufu vesectomy. Akizungumza na Mpasho mrembo huyo amesema kauli hiyo ilitafsiriwa vibaya na waandishi wa habari kwani Bien alikuwa anajaribu kuwaelimisha wanaume kuhusu umuhimu wa kuwasaidia wake zao kwenye suala […]

Read More