CHIKUZEE MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA
Mkali wa muziki nchini Chikuzee ametusanua kuwa album yake mpya imekamilika. Hitmaker huyo wa ngoma ya “In Love” ameweka wazi hilo kwenye moja ya Interview sambamba na kuwapa challange mashabiki wake kupendekeza jina kali ambalo atalitumia kwenye album hiyo. Hata hivyo Chikuzee hajatuambia idadi ya ngoma zitakazopatikana kwenye album hiyo wala tarehe rasmi ya album yenyewe […]
Read More