Chikuzee anyosha maelezo kuhusu video iliyosambaa mtandaoni akiwa kanisani

Chikuzee anyosha maelezo kuhusu video iliyosambaa mtandaoni akiwa kanisani

Msanii Chikuzee amefunguka kuhusu video iliyosambaa mtandaoni mapema wiki hii akiwa anaombewa kanisani baada ya watu kuhoji kuwa huenda amebadili dini kisiri. Kwenye mahojiano na podcast ya Captain nyota Chikuzee amesema alikuwa ameenda kanisani kwa ajili ya kuomba dua ya kumuondolea mapepo huku akikiri hadharani kuwa kuna baadhi ya wasanii wa Mombasa walimfanyia vitendo kishirikini […]

Read More