CHIMANO WA SAUTI SOL AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

CHIMANO WA SAUTI SOL AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

Mwanachama wa kundi la Sauti sol, Austin Chimano ameachia rasmi Album yake mpya inayokwenda kwa jina la Heavy is The Crown.. EP hiyo ina jumla ya mikwaju 6 ya moto  ambazo amezifanya bila kumshirisha msanii yeyote. Heavy is The Crown EP ina nyimbo kama Stereo, Mad Love, Loser, Hallelujah, Beautiful Day, Freedom na  inapatikana exclusive kupitia digital platforms mbalimbali za kupakulia na kusikilizia muziki duniani ikiwemo Apple Music na Spotify. Sanjari na hilo tayari picha ya bensol imetumika kama cover ya playlist ya mtandao mkubwa wa kuuza nyimbo duniani,wa Apple Music. Apple wamekuwa na utaratibu wa kuweka cover za Mastaa ambao Ngoma zao zinaongoza kwa Mauzo katika mtandao huo , kwenye Playlist zao mbalimbali.

Read More