Davido na Chioma wafunga ndoa

Davido na Chioma wafunga ndoa

Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido ameripotiwa kufunga ndoa na mpenzi wake Chioma ambaye ni mzazi mwenza wa mtoto wao aliyefariki dunia “Ifeanyi”. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari toka Nigeria. Ndoa hiyo inayotajwa kuwa ya kitamaduni ilifungwa nyumbani kwa baba yake Davido na ilihudhuriwa na watu wa familia za wawili hao pekee. Katika […]

Read More
 Davido mbioni kufunga ndoa mwaka 2023

Davido mbioni kufunga ndoa mwaka 2023

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Davido ameahidi kuwa mwaka 2023 atafunga ndoa na mpenzi wake Chioma. Davido amebainisha hayo akiwa na baby mama wake huyo pamoja na mchungaji wake Tobi Adegboyega huko Uingereza, alipoenda kumtambulisha Chioma kwa mchungaji huyo. “Our wife, our real wife,” anasikika Mchungaji Tobi akieleza, na Davido akaongezea, “Hundred per cent, […]

Read More