CHOSEN BECKY AFUNGUKA JUU YA TETESI ZA KUFURUSHWA AFRIKA KUSINI
Staa wa muziki nchini uganda Chosen Becky amekiri kwamba alifurushwa nchini Afrika Kusini kwa madai ya kukosa kibali cha kutumbuiza nchini humo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Chosen Becky kutimuliwa kwake nchini humo ilitokea mara baada ya maafisa wa serikali na hoteli aliyokuwa ameenda kukaa kutokuwa na maelewano mazuri. Hata hivyo amewaomba radhi mashabiki zake […]
Read More