Msanii Chosen Becky Adokeza Mpango wa Kuzaa Watoto 12

Msanii Chosen Becky Adokeza Mpango wa Kuzaa Watoto 12

Mwanamuziki nyota kutoka nchini Uganda, Chosen Becky, amefichua mipango yake ya kuwa na familia kubwa yenye watoto kumi na wawili au zaidi, akisema ni ndoto aliyokuwa nayo kwa muda mrefu. Akipiga stori na Youtuber mmoja nchini humo, Becky amesema anapenda sana watoto na anaamini Mungu atampa nguvu ya kutimiza ndoto hiyo ya kuwa mama wa […]

Read More
 CHOSEN BECKY AKERWA NA WANAOSHINIKIZA WASANII WAPROMOTI KAZI ZA WENZAO

CHOSEN BECKY AKERWA NA WANAOSHINIKIZA WASANII WAPROMOTI KAZI ZA WENZAO

Msanii Chosen Becky amewataka wasaani kutowapa shinikizo wenzao  kuchapisha matangazo ya shows kwenye mitandao ya kijamii. Hii ni baada ya DJ Nimrod kuzua gumzo mtandaoni kwa kusema kuwa Juliana Kanyamozi hakupaswa kupewa support kutoka kwa wasanii wengine kwa sababu huwa hawaungi mkono wasanii wengine kwenye shughuli zao. Sasa Chosen Becky aliamua kumkingia kifua juliana kanyamozi […]

Read More
 CHOSEN BECKY ATILIA SHAKA TUZO ALIYOPEWA NA MTN UGANDA

CHOSEN BECKY ATILIA SHAKA TUZO ALIYOPEWA NA MTN UGANDA

Msanii wa kike nchini Uganda Chosen Becky hajafurahishwa na hatua ya kampuni ya MTN kumtunuku tuzo ya wimbo bora wa bendi kwenye tuzo za Callers Tune. Becky amesema hafanyi muziki wa bendi kama waandaaji wa tuzo walivyomchukulia ila anajihusisha na muziki wa Afro beat. Hata hivyo hitmaker huyo wa ngoma ya “Party Time” amewashukuru waandaji […]

Read More