Sheebah hakunilipa chochote kutumbuiza kwenye shoo zake – Chozen Blood
Msanii kutoka nchini Uganda Chozen Blood amefunguka madai ya kulipwa na msanii Sheebah Karungi kwenye tamasha lake la siku mbili lilofanyika kwenye hoteli ya Serena na Freedom City mwishoni mwa juma lilopita. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Chozen Blood amesema hakupokea hata senti moja kutoka kwa Sheebah kutumbuiza kwenye matamasha yake mawili ambayo yalipokea upendo […]
Read More