“Warembo Wanapenda Mali, Sio Ndoa” – Msanii Chris Evans

“Warembo Wanapenda Mali, Sio Ndoa” – Msanii Chris Evans

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Chris Evans, ametangaza rasmi kuachana na wanawake warembo, akisema hawana nia ya dhati ya kuingia kwenye ndoa. Evans, ambaye amewahi kuhusishwa kimapenzi na mastaa kama Zanie Brown, Spice Diana, na Lydia Jazmine, amesema kwamba wanawake wengi warembo huwa wanavutiwa na mali na si kujenga familia. Mwanamuziki huyo anayefahamika kwa […]

Read More
 CHRIS EVANS AKANUSHA MADAI YA KUFUNGA NDOA NA MARY BATA

CHRIS EVANS AKANUSHA MADAI YA KUFUNGA NDOA NA MARY BATA

Mwanamuziki wa bendi kutoka Uganda Chris Evans amepuzilia mbali madai kuwa ana mpango wa kutambulishwa nyumbani kwa msaniii mwenzake Mary Bata kama mume mtarajiwa wa msanii huyo kwa njia ya harusi ya kitamaduni. Chris evans amesema ameshangazwa  kuona barua ya mwaaliko ya harusi inayosambaa mtandaoni huku  akisema kuwa barua hiyo ni batili kwani hana mpango […]

Read More
 CHRIS EVANS AWATAKA WALIMENGU WAMPE UHURU WA KUIKUZA PENZI LAKE NA MREMBO BRISHER KASH

CHRIS EVANS AWATAKA WALIMENGU WAMPE UHURU WA KUIKUZA PENZI LAKE NA MREMBO BRISHER KASH

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Chris Evans ametoa rai kwa mashabiki zake pamoja na vyombo vya habari kutoingilia mahusiano yake na malkia wa tiktok nchini humo Brisher Kash wakati huu penzi lao linazidi kukolea. Katika mahojiano yake hivi karibuni Chris Evans amedai kuwa kadri watu wanavyozidi kumfuatilia na kumuuliza maswali kuhusu maisha yake ya mahusiano, ndivyo […]

Read More