John Legend na mkewe Chrissy Teigen wamebarikiwa kupata mtoto

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wamebarikiwa kupata mtoto

Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Grammy John Legend na mkewe Chrissy Teigen wamebarikiwa kupata mtoto mwingine. Kwa mujibu wa Jarida la People, Teigen alijifungua JanuarI 13, mwaka 2023. Legend pia alitangaza taarifa hiyo njema kupitia onesho lake binafsi ambapo aliwaambia wahudhuriaji kwamba β€œThe little baby this morning. What a blessed […]

Read More
 MKE WA JOHN LEGEND AFUNGUKA TUKIO LA HUZINI LILOMTOKEA MIAKA 2 ILIYOPITA

MKE WA JOHN LEGEND AFUNGUKA TUKIO LA HUZINI LILOMTOKEA MIAKA 2 ILIYOPITA

Mke wa msanii John Legend, Chrissy Teigen amefunguka kuhusu tukio la huzuni ambalo lilimtokea miaka miwili iliyopita ambapo alimpoteza mtoto wake ambaye hakuwa amezaliwa. Kwenye mahojiano yake mapya, Teigen mwenye umri wa miaka 36 amesema alimpoteza mtoto huyo kutokana na kutolewa kwa ujauzito (abortion) na sio kuharibika kwa mimba (miscarriage) kama ambavyo ilielezwa. Teigen amesema […]

Read More