Christian Norgaard Ajiunga na Arsenal Kutoka Brentford

Christian Norgaard Ajiunga na Arsenal Kutoka Brentford

Klabu ya Arsenal imemsajili kiungo mkabaji Christian Norgaard kutoka Brentford kwa ada ya pauni milioni 15, sawa na zaidi ya shilingi bilioni 53 za Tanzania. Mkataba huo ni wa miaka miwili, huku ikiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi. Mchezaji huyo wa taifa la Denmark mwenye umri wa miaka 31 alijiunga na Brentford mwaka […]

Read More