Msanii Christina Shusho Amuenzi Raila Kupitia Wimbo Maalum wa Faraja
Mwanamuziki wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Christina Shusho, ameachia wimbo maalum wa kumuomboleza kiongozi wa kisiasa hayati Raila Odinga, alioupa jina “Pumzika Baba.” Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shusho ameeleza kuwa Kenya ina nafasi maalum katika huduma yake ya muziki, akisema kuwa taifa hilo limekuwa sehemu muhimu ya mafanikio yake. Hitmaker huyo wa Shusha […]
Read More