MIMI MARS AACHIA RASMI CHRISTMASS EP
Msanii wa muziki wa Bongofleva kutoka Mdee Music, Mimi Mars ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Christmass. Christmass ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo 4 za moto ambazo ni mahususi kwa ajili ya sikukuu ya Krismasi. Christmass Ep ina nyimbo kama Falalala, Usiku wa Nuru, Holy Day,Christmas Day ambayo imebeba jina la EP hiyo. Hii inakuwa EP ya pili kutoka kwa mtu mzima Mimi Mars baada ya kuachia, The Road EP. na inapatikana exclusive kwenye Digital Platforms zote za kusambaza muziki duniani.
Read More