Perplexity Yajitokeza kwa Ofa Kubwa ya Kununua Chrome

Perplexity Yajitokeza kwa Ofa Kubwa ya Kununua Chrome

Kampuni ya Perplexity, inayojulikana kwa app yake inayoshindana na ChatGPT, Grok, na DeepSeek, imeweka ofa ya Dola Bilioni 34.5 kununua browser maarufu ya Chrome. Google inahofia kuuza browser hii kwani inatumia Chrome kujiwekea faida, kuweka matangazo, na kukusanya data nyingi za watumiaji duniani. Hadi sasa, Google haijaonyesha muamko rasmi, na ina mpango wa kukata rufaa […]

Read More
 Google Yazindua Mfumo Mpya wa Kudhibiti Ad Blockers kwa Chrome

Google Yazindua Mfumo Mpya wa Kudhibiti Ad Blockers kwa Chrome

Kampuni ya teknolojia ya Google imeanzisha mfumo mpya wa kudhibiti na kuzuia matumizi holela ya extensions (viongezo) vinavyotumika kuzima matangazo kwenye kivinjari chake cha Chrome. Hatua hii inalenga kulinda mapato yanayotokana na matangazo, ambayo ni chanzo kikuu cha fedha kwa kampuni hiyo. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Google, mfumo huo mpya utahakikisha kuwa extensions […]

Read More