Google Kuunganisha ChromeOS na Android Katika Jukwaa Moja
Google imetangaza kuwa iko mbioni kuunganisha mfumo wa ChromeOS na Android ili kuunda jukwaa moja linalowezesha matumizi bora zaidi ya teknolojia katika vifaa vyake. Hatua hii inalenga kuondoa mipaka kati ya simu, tablet, na kompyuta kwa kuleta mfumo mmoja wenye uwezo mpana na matumizi yaliyopangwa kwa urahisi zaidi. Kwa kuunganisha mifumo hii miwili, Google inalenga […]
Read More