RAYVANNY ATANGAZA TAREHE RASMI YA KUACHIA FLOWERS II EP
CEO wa Next Level Music na Member wa WcB msanii Rayvanny ameachia Track list ya , EP yake iitwayo Flowers II’. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rayvanny ameshare artwork ya EP hiyo yenye Jumla ya Nyimbo 9 za moto ambapo amesema itaingia rasmi Sokoni Februari 10, mwaka wa 2022. Kwenye Followers II EP Rayvanny amewashirikisha […]
Read More