SHEEBAH KARUNGI KUZINDUA CHUO CHA KUHAMASISHA WATOTO WA KIKE.
Mwanamuziki wa lebo ya muziki ya Team No Sleep Sheebah Samali Karungi amefunguka na kusema kwamba ana mpango wa kuanzisha shule ya kutoa ujuzi wa kuwahamasisha watoto wa kike. Hitmaker huyo wa Yolo amesema lengo la yeye kuanzisha chuo hicho ni kuwaona wanawake wanaanza kujitegemea kiuchumi badala ya kukaa nyumbani wakisubiri waume zao wawape pesa […]
Read More