Ckay aandika historia Marekani kupitia wimbo wake “Love Nwantiti”

Ckay aandika historia Marekani kupitia wimbo wake “Love Nwantiti”

Msanii kutoka nchini Nigeria, CKay anaendelea kuweka rekodi kupitia wimbo wake (Love Nwantiti) ambao ulitoka mwaka 2020. Kwa mujibu wa Recording Industry Association of America (RIAA), wimbo huo umegonga Platinum 4 yaani umeuza zaidi ya nakala milioni 4. Utakumbuka Januari 11 mwaka huu Ckay aliandika rekodi nyingine kubwa ambapo wimbo huo ulitajwa namba moja kwenye orodha ya nyimbo za kiafrika zilizouza zaidi nchini Marekani mwaka 2022, ukiingiza zaidi ya KSh. millioni 198.

Read More
 WIMBO WA C KAY  “LOVE NWANTINTI” WAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

WIMBO WA C KAY “LOVE NWANTINTI” WAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

Wimbo wa mkali kutoka nchini Nigeria Ckay,  ‘Love Nwantiti’ umefikisha kiwango cha mauzo ya Platinum yaani imeuza nakala milioni 10 kwa nchini Marekani. Huu unakuwa wimbo wa pili kutoka barani Afrika kufika Platinum nchini Marekani baada ya ‘ESSENCE’ ya Wizkid na Tems. Wimbo huo ulitoka mwaka 2019 chini ya lebo ya Chocolate City, ulianza kufanya vizuri duniani mwaka jana kwa kukamata namba 1 kwenye mtandao maarufu wa kutafuta nyimbo duniani Shazam. Lakini pia unaendelea kusumbua kwenye chati mbali mbali za muziki barani Ulaya na Marekani

Read More