Breaking!

Genuine_gameplay_insights_to_elevate_your_experience_with_big_bass_bonanza_demo
Platformlar_aracılığıyla_güvenilir_grandpashabet_giriş_erişimi_sağlayan
Érdekes_nyeremények_a_szerencsejátékok_világában_és_az_nv_casino_kínála
test
September 23, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: CKAY

 Ckay aandika historia Marekani kupitia wimbo wake “Love Nwantiti”
Robert Elim January 19, 2023
Comments (0)

Ckay aandika historia Marekani kupitia wimbo wake “Love Nwantiti”

Msanii kutoka nchini Nigeria, CKay anaendelea kuweka rekodi kupitia wimbo wake (Love Nwantiti) ambao ulitoka mwaka 2020. Kwa mujibu wa Recording Industry Association of America (RIAA), wimbo huo umegonga Platinum 4 yaani umeuza zaidi ya nakala milioni 4. Utakumbuka Januari 11 mwaka huu Ckay aliandika rekodi nyingine kubwa ambapo wimbo huo ulitajwa namba moja kwenye […]

Read More
 WIMBO WA C KAY  “LOVE NWANTINTI” WAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI
Robert Elim February 1, 2022
Comments (0)

WIMBO WA C KAY “LOVE NWANTINTI” WAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

Wimbo wa mkali kutoka nchini Nigeria Ckay,  ‘Love Nwantiti’ umefikisha kiwango cha mauzo ya Platinum yaani imeuza nakala milioni 10 kwa nchini Marekani. Huu unakuwa wimbo wa pili kutoka barani Afrika kufika Platinum nchini Marekani baada ya ‘ESSENCE’ ya Wizkid na Tems. Wimbo huo ulitoka mwaka 2019 chini ya lebo ya Chocolate City, ulianza kufanya […]

Read More

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us ▼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.