Remy Ma na Claressa Shields Warushiana Maneno Makali Kwenye Insta Story kisa Mwanaume

Remy Ma na Claressa Shields Warushiana Maneno Makali Kwenye Insta Story kisa Mwanaume

Rapa Remy Ma amemjibu Claressa Shields kupitia Insta Story, akimtaka akae kimya kuhusu uhusiano wake na Papoose. Katika ujumbe uliosheheni mafumbo, Remy alizungumzia mwanamke mwenye miaka 30 aliyeingia kwenye uhusiano na mwanaume mwenye miaka 47, mwenye historia ya ndoa ya muda mrefu na watoto wanne, huku akimuahidi mtoto mwingine na kuanza mchakato wa talaka saa […]

Read More