Remy Ma Asisitiza Kumaliza Ndoa Kwa Heshima, Aahidi Kumlipa Wakili wa Papoose
Msanii mashuhuri wa muziki wa hip hop, Remy Ma, amevunja ukimya wake kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na rapa mwenzake Papoose, akithibitisha kuwa bado mchakato wa talaka haujakamilika rasmi. Akizungumza kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye mtandao wa Instagram, Remy Ma alieleza kwa uwazi kuwa yuko tayari hata kugharamia ada za wakili wa Papoose […]
Read More