CLEVER J AFUNGUKA KUNYANYASWA NA PALLASO PAMOJA NA CHAMELEONE

CLEVER J AFUNGUKA KUNYANYASWA NA PALLASO PAMOJA NA CHAMELEONE

Msanii mkongwe kwenye muziki kutoka nchini Uganda Clever J ameonekana kukerwa na hatua ya Pallaso pamoja na Chameleone kushindwa kumlipa pesa zake licha ya kutumbuiza kwenye shows zao. Katika mahojiano yake hivi karibuni CleverJ ameamua kutoa ya moyoni kwa kusema kwamba licha kutokea kwenye shoo sita za wawili hao hajapokea malipo yeyote. kwao. Hitmaker huyo […]

Read More
 CLEVER J: KIBURI IMENIPONZA KISANAA

CLEVER J: KIBURI IMENIPONZA KISANAA

Msanii mkongwe kwenye muziki kutoka nchini Uganda Clever J amekiri kuwa kitendo chake cha kutokubali kusimamiwa kikazi ndio imemponza kisanaa kwa miaka mingi. Katika mahojiano yake ya hivi karibu hitmaker huyo wa ngoma ya “Manzi wa Nani” amesema hawezi stawi katika mazingira ya kupewa masharti ikizingatiwa kwamba hapendi kuwa chini ya shinikizo. “Niliwaambia nyie kwamba […]

Read More