COCOS JUMA WA SAILORS GANG AFUNGUKA MANYANYASO WANAYOPITIA CHINI YA BLACK MARKET RECORDS
Msanii wa Sailors gang,Cocos Juma amedai kwamba wanajuta kujiunga na lebo ya muziki ya Black Market Records. Katika mahojiano na Plug TV Cocos Juma amekiri kutopata chochote kwenye muziki wao ikiwemo kutomiliki kazi zao za muziki ambazo wamezifanya kwa kipindi chote ambacho amekuwa chini ya lebo ya muziki ya black market records. Msanii huyo ameenda mbali zaidi […]
Read More