Colonel Mustafa Adai Kuwasaidia Huddah na Noti Flow Kufikia Umaarufu

Colonel Mustafa Adai Kuwasaidia Huddah na Noti Flow Kufikia Umaarufu

Msanii mkongwe wa muziki nchini Kenya,Colonel Mustafa, amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa muda aliowahi kutumia na mastaa wa kike kama Huddah Monroe na Noti Flow uliwasaidia kupenya kwenye anga la umaarufu, wakati walipokuwa bado hawajatambulika sana katika tasnia ya burudani. Akizungumza kwenye podcast ya Alex Mwakideu Live, alisema kwamba mahusiano yake na wanawake […]

Read More
 COLONEL MUSTAFA AMVUA NGUO EX WAKE NOTI FLOW, AMWITA MWIZI

COLONEL MUSTAFA AMVUA NGUO EX WAKE NOTI FLOW, AMWITA MWIZI

Msanii mwenye utata nchini  Colonel Mustafa kwa mara nyingine amedai kuwa aliyekuwa mpenzi wake Noti Flow alimuibia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram. Hitmaker huyo wa ngoma ya ‘Hey Baby’ amedai noti flow alichukua akaunti yake ya Instagram kwa njia ya mabavu kipindi wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi. Akizungumza kwenye the Trend ya NTV […]

Read More
 COLONEL MUSTAFA ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA.

COLONEL MUSTAFA ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA.

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Colonel Mustafa amerejea rasmi kwenye tasnia ya muziki baada ya ukimya wa miaka mitano. Rapa huyo mwenye Asili ya Tanzania na Kenya amefichua kuwa yupo mbioni kuachia album yake mpya na tayari ameshaachia wimbo wake wa kwanza kutoka kwenye album hiyo iitwayo  Maloko ambao ameufanya na Prodyuza   Motif Di […]

Read More