Msanii Nguli Colonel Mustapha Afunguka Kuhusu Majuto ya Maisha ya Kifahari na Anasa
Msanii mkongwe wa muziki wa Kenya, Colonel Mustapha, ameweka wazi majuto yake kuhusu maisha aliyoyaishi wakati wa kilele cha umaarufu wake, akieleza wazi kuwa alijisahau kutokana na tamaa na anasa. Katika mahojiano ya moja kwa moja na mtangazaji Alex Mwakideu, Mustapha, ambaye aliwahi kutamba akiwa sehemu ya kundi maarufu Deux Vultures, alifunguka kuhusu namna alivyozama […]
Read More