Commentator 254 Akataa Kufichua Sababu za Kuachana na Moureen Ngigi
Content creator kutoka Kenya, Commentator 254, amekataa kufichua chanzo cha kuachana na mama ya mtoto wake Moureen Ngigi baada ya kukaa pamoja kwa muda mrefu. Akiwa kwenye channel yake ya YouTube, ameeleza kuwa ingawa amepokea maswali mengi kutoka kwa mashabiki wake kuhusu kilichosababisha kuvunjika kwa penzi lao baada ya miaka mitatu, hatatoa maelezo ya kina […]
Read More