AZIZ AZION MBIONI KUJA NA ONE DECADE CONCERT
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Aziz Azion, ametangaza kwamba ana mpango wa kuja na tamasha la muziki la One Decade Concert kuadhimisha miaka 10 ya uwepo wake kwenye muziki baada ya katazo la kufanya matamasha ya muziki litakapoondolewa nchini uganda. Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 37 amedokeza kuwa kiingilio cha tamasha hilo litakuwa shillingi laki […]
Read More