RAPA COOLIO AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 59

RAPA COOLIO AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 59

Rapa kutoka Marekani Coolio amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59. Rafiki yake na meneja wa muda mrefu Jarez Posey ameithibitishia TMZ kwamba rapa huyo alifariki Jana Jumatano Jijini Los Angeles. Kwa mujibu tovuti hiyo, Coolio alimtembelea rafiki yake na alipokwenda bafuni hakurudi tena. Rafiki yake baada ya kuona ukimya huo, alienda bafuni na […]

Read More