Corazon Kwamboka kushtaki duka la jumla nchini Uganda kwa kutumia picha zake bila idhini
Sosholaiti maarufu mtandaoni Corazon Kwamboka amedai kuwa atachukua hatua kali za kisheria dhidi ya duka la moja la jumla nchini Uganda ambalo lilitumia picha zake bila ridhaa yake. Duka hilo lilitumia picha zake kwa matangazo na madhumuni ya kibiashara bila idhini yake hivyo kukiuka haki zake za faragha na umaarufu. Taarifa hizo zilifikishwa kwake na […]
Read More