Cristiano Jr ajiunga rasmi na Real Madrid

Cristiano Jr ajiunga rasmi na Real Madrid

Mshambuliaji Chipukizi, Cristiano Jr (mtoto wa Cristiano Ronaldo) amerejea katika shule ya vipaji ya Real Madrid kutoka Manchester United ikiwa ni miaka minne tangu aondoke klabuni pamoja na baba yake. Cristiano Jr anatimkia Real Madrid siku chache baada ya babake kuonekana kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Real Madrid wakati akiendelea kutafuta klabu mpya. […]

Read More