Ronaldo aukataa ukubwa ndani ya Al Nassr

Ronaldo aukataa ukubwa ndani ya Al Nassr

 Rais wa Klabu ya Al Nassr, Musalli Al Muammar amesema kuwa staa wa timu hiyo Cristiano Ronaldo ameomba atendewe sawa na wachezaji wenzake ndani ya kikosi, asipendelewe. “Wakati wa makubaliano, Ronaldo aliomba atendewe sawa na wachezaji wengine kikosini, kwenye upande wa zawadi za motisha na kanuni za timu.”- Musalli Al Muammar Rais huyo wa Al […]

Read More
 Ronaldo awasili nchini Saudi Arabia

Ronaldo awasili nchini Saudi Arabia

Nyota mpya wa klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo tayari amewasili nchini Saudi Arabia akiwa pamoja na familia yake akiambatana na watu wa mambo ya kiufundi na waandishi wa habari wakitua kutoka jijini Madrid. Kinachosubiriwa kwa sasa ni nyota huyo kutambulishwa rasmi na klabu ya Al-Nassr mbele ya umati wa mashabiki katika uwanja wa Mrsool Park, […]

Read More
 Cristiano Ronaldo kutambulishwa kesho na klabu ya Al-Nassr

Cristiano Ronaldo kutambulishwa kesho na klabu ya Al-Nassr

Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo atatambulishwa rasmi na klabu ya Al-Nassr mbele ya umati wa mashabiki katika uwanja wa Mrsool Park, unaomilikiwa na klabu hiyo uliyopo ndani ya jiji la Riyadh, Saudi Arabia ambao unaingiza mashabiki 25,000. Ronaldo amewasili leo Saudi Arabia pamoja na familia yake akiambatana na watu wa mambo ya kiufundi […]

Read More
 Cristiano Ronaldo ajiunga rasmi na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia

Cristiano Ronaldo ajiunga rasmi na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia

Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imethibitisha kumsajili gwiji wa soka raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo kwa mkataba unaodumu hadi mwaka 2025. Habari za kusajiliwa kwake zimethibitishwa Ijumaa usiku na klabu hiyo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Klabu imeandika “Mwanasoka mkubwa zaidi duniani amesainiwa rasmi,” ujumbe ulioambatana na picha za Ronaldo akiwa […]

Read More
 Cristiano Ronaldo afanya mazoezi kwenye uwanja wa Real Madrid

Cristiano Ronaldo afanya mazoezi kwenye uwanja wa Real Madrid

Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo jana Disemba 14, 2022 alikuwa katika uwanja wa Real Madrid na kufanya mazoezi maalum chini kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti. Cristiano alikuwa pamoja na mwanawe na aliomba ruhusa ya kufanya mazoezi katika vituo vya Madrid baada ya Timu yake Kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia. Rais […]

Read More
 Manchester United yatangaza kumaliza na Cristiano Ronaldo

Manchester United yatangaza kumaliza na Cristiano Ronaldo

Klabu ya Manchester United imetangaza kumalizana na nyota wake Cristiano Ronaldo. Man United imetoa taarifa rasmi usiku huu kwamba, pande zote mbili zimefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na nyota huyo anatakiwa kuondoka haraka iwezekanavyo. Ronaldo anaondoka Man United kufuatia mahojiano yake na Piers Morgan ambayo yaliishambulia Klabu pamoja na menejimenti. Kwenye tamko lake la mwisho, […]

Read More
 RONALDO AMEVURUGA KIWANGO CHA BRUNO FERNANDES MAN UNITED

RONALDO AMEVURUGA KIWANGO CHA BRUNO FERNANDES MAN UNITED

Cristiano Ronaldo kurejea ndani ya Manchester United kumesababisha mshambuliaji wa timu hiyo, Bruno Fernandes kupoteza ubora wake. Hayo ni maoni ya nguli wa timu hiyo, Andy Cole ambaye ameeleza kuwa Wareno hao wanapata shida kucheza pamoja. Fernandes alikuwa staa wa timu na kuonyesha ubora wa juu lakini ameshindwa kuwa katika ubora wa juu msimu huu. […]

Read More